Quantcast
Channel: KANDORODADDYCOOL | THE SBA NO.1 OFFICIAL WEBSITE
Browsing all 25 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watoto watatu wafariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi.

Watoto watatu wenye umri kati ya miezi mitano na miaka 13 wakazi wa kitongoji cha Kibong'wa wilayani Kisarawe wamekufa papohapo baada ya kufunikwa na kifusi cha udongo .

View Article



TAARIFA YA HOSPITALI YA MUHIMBILI KUHUSU HABARI YA GAZETI LA RAI KUMHUSU DK...

Awali ya yote Hospitali ya Taifa Muhimbili inapenda kutoa salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki wa Dkt. Sengondo Mvungi aliyefariki katika Hospitali ya Millpark,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KURASA ZA LEO:::WEMA,JOKATE WAMPONZA DIAMOND::

................................millard ayo

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA KWA KINA ZAIDI HAPA:::WEMA, JOKATE WAMPONZA DIAMOND

Gumzo kubwa kwenye harusi ya staa wa dunia katika Kundi la P-Square wanaotarajiwa kuangusha shoo Bongo kesho, Peter Okoye mwishoni mwa wiki iliyopita, ni mwaliko wa msanii pekee wa Bongo, Nasibu Abdul...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FUMANIZI LA JB UTATA MTUPU

LILE sakata la madai kwamba, staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’ amenaswa akiwa na mke wa mtu mjini Dodoma limeingia katika sura tofauti baada ya habari yenyewe kujaa utata.Habari za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LORI LAUA MADEREVA WA BODABODA WATANO

Waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda watano wa kituo cha Picha ya Ndege Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, wamekufa baada ya kugongana uso kwa usoni la lori.Bodaboda hao walipatwa na mkasa huo wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA VIDEO YA MFANYABISHARA ALIYEUA MWANAMKE MMOJA NA KUJERUHI WATU WATATU...

Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mfanyabishara wa magari kutoka jijini Mwanza,amemuua mwanamke mmoja na kujeruhi vibaya watu watatu kwa kuwapiga risasi sehemu mbalimbali za miili yao katika eneo la ilala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO KABWE NA DK. KITILA WAVULIWA VYEO VYAO VYOTE NDANI YA CHADEMA

Kikao cha Kamati Kuu ndiyo kimeisha muda huu, na taarifa zilizopo ni kwamba kambi ya PM7 imevunjwa rasmi baada ya viongozi wake kuvuliwa vyeo vyote walivyo navyo ndani ya chama.Waliovuliwa vyeo ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOVA AMTAJA ANAYESHIKILIA LAPTOP YA MVUNGI

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Sulaiman KovaKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Sulaiman Kova, amemtaja mkazi mmoja wa Jiji la Dar es Salaam kwamba ndiye anayeishikilia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA MNYAMA WA AJABU ANAYESADIKIKA KUWA NA UMBO KUBWA KULIKO WOTE...

MNYAMA huyu wa maajabu mkubwa kupita kiasi alionekana huko Vietnam mwaka 2013.Ni balaa...!!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU KUMI WANAOTUHUMIWA KUMUUA DK SENGONDO MVUNGI

Majambazi kumi wanaodaiwa kumuua Dr. Segondo Mvungi wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kumuua Dr. Mvungi.Kesi imesomwa na Hakimu Mkazi Sundi Fimbo ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA UCHAGUZI WA TANZANIA UNGEKUWA LEO HII..KURA YAKO UNGEMPA NANI???

The next Tanzania's General Elections a re almost two years away. To be exact, Tanzanians [registered voters of course] will be on hopeful long ques in October 2015 to elect the next President of The...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Q-CHILLA ASIKITISHWA NA JINSI WASANII WALIVYOKUWA KIMYA KWENYE RUFAA YA BABU...

Muimbaji wa ‘Beautiful’ Q-Chilla amesema amesikitishwa na jinsi wasanii wenzake walivyokuwa kimya kwenye rufaa ya Babu Seya na Papii Kocha ambao rufaa yao imekataliwa leo na hivyo kuendelea na kifungo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NOOMA!! SAMSUNG WAMEWALIPA APPLE DOLA BILLIONI MOJA KWA SARAFU AMBAZO...

This morning more than 30 trucks filled with 5-cent coins arrived at Apple’s headquarters in California. Initially, the security company that protects the facility said the trucks were in the wrong...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO::Eminem - Rap God (Music Video Teaser)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA ALICHOKIANDIKA REGINALD MENGI NA AFANDE SELE KUHUSU WAZIRI MUHOGO JUU YA...

Mikoa mbalimbali ya Tanzania sasa hivi ipo kwenye mgao wa umeme wa siku kumi uliotangazwa na Tanesco siku kadhaa zilizopita ambapo maeneo mengine wamelalamika umeme kukatika kwa zaidi ya saa 15.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANUSURIKA KUZIKWA AKIWA HAI MBEYA VIJIJINI

IKIWA zimepita wiki takribani mbili baada ya mwanaume mmoja kuzikwa akiwa hai eneo la kijiji cha Mshewe wilaya ya Mbeya Vijijini mkoan hapa, mwanaume mwingine wa kijiji cha Shilanga wilayani humo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA MUONEKANO WA WA JUKWAA LA P~ SQUARE LIVE IN DAR HATUA ZA MWANZO

Ikiwa imebaki siku moja tu kabla ya show ya kihistoria inayosubiriwa na wengi kufanyika ndani ya viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam, tayari jukwaa litakalotumiwa na wasanii wanne kutoka hapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE ALALA NA MAITI YA MUME WAKE KWA MWAKA MMOJA KATIKA KITANDA...

Inakuwa ni jambo gumu sana kuliamini hasa kabla haujatazama ni nini kilicho tokeawakati huo  2012, ambapo mwanamke mmoja aliamua kulala na maiti ya mume wake katika kitanda kimoja kwa kipindi kinacho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA P SQUARE WALIVYOWASILI JIJINI DAR TAYARI KWA MAKAMUZI

 Wanamuziki wanaotajwa kuwa na mvuto zaidi barani Afrika, P Square, wamewasili usiku huu katika uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere  kwa ajili ya onesho lao linalotarajiwa kufanyika Jumamosi hii...

View Article
Browsing all 25 articles
Browse latest View live




Latest Images